Dar es Salaam, leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi anaondoka nchini leo Jumanosi, Novemba 26, 2022 kwenda Riyadh, Saudi Arabia.
Taarifa umesema, Rais Dk. Mwinyi akiwa mjini Riyadh atashiriki Kongamano la Kimataifa ambalo litahudhuriwa na viongozi mbalimbali kujadili mustakabali wa sekta ya Utalii.
Katika Kongamano hilo Dk. Mwinyi anamwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan.
Rais Dk. Hussein Mwinyi
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇