Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akifurahia jambo na Balozi wa Sweden hapa nchini Tanzania Balozi Charlotta Ozaki Macias, Ikulu mjini Zanzibar, leo, Novemba 3, 2022
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Balozi wa Sweden hapa nchini Tanzania Balozi Charlotta Ozaki Macias, Ikulu mjini Zanzibar, leo, Novemba 3, 2022
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akiagana na Balozi wa Sweden hapa nchini Tanzania Balozi Charlotta Ozaki Macias, baada ya mazungumzo yao, Ikulu mjini Zanzibar, leo, Novemba 3, 2022
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇