LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 9, 2022

RAAIS SAMIA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA RAIS WA MISRI KATIKA OFISI YA RAIS HUYO MJINI SHARM EL SHEIKH NCHINI HUMO, LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Rais Abdel Fattah El-Sisi wa Misri alipowali kwenye Ofisi ya Rais huyo katika Mji wa Sharm El Sheikh, nchini humo leo, Novemba 9, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akizungumza na Rais Abdel Fattah El-Sisi wa Misri alipowali kwenye Ofisi ya Rais huyo katika Mji wa Sharm El Sheikh, nchini humo leo, Novemba 9, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akisindikizwa na na Rais Abdel Fattah El-Sisi wa Misri baada ya mazungumzo yao kwenye Ofisi ya Rais huyo katika Mji wa Sharm El Sheikh, nchini humo leo, Novemba 9, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiagana na Rais Abdel Fattah El-Sisi wa Misri baada ya mazungumzo yao kwenye Ofisi ya Rais huyo katika Mji wa Sharm El Sheikh, nchini humo leo, Novemba 9, 2022.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages