Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Huduma za Meli Tanzania (MSCL), Eric Hamissi akielezea kuhusu ndoto yao ya kuwekeza meli za mizigo katika Bahari ya Hindi ili kuliteka soko duniani. Ameyasema hayo wakati wa mkutano na vyombo vya habari kwenye Ukumbi wa Idara ya Habari-MAELEZO jijini Dodoma Novemba Mosi, 2022, kuhusu utekelezaji wa majukumu yao na vipaumbele vyao kwa mwaka 2022/23.
Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Hamissi akielezea kuhusu ndoto yao hiyo....
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDAMHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇