LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 25, 2022

DK. MNDOLWA ATOSWA, MAGANYA ATWAA UENYEKITI WAZAZI CCM TAIFA+video

Wajumbe wakimshangilia Mwenyekiti mpya wa Jumuiya ya Wazazi Taifa Fadhil Muganya baada ya kutangazwa rasmi na Msimamizi wa Uchaguzi wa jumuiya hiyo, Maalim Kombo Hassan Juma kuwa mshindi kwa zaidi ya kura 570 dhidi ya aliyekuwa Mwenyekiti Dk Mndolwa, ambaye alipata kura 64 katika Uchaguzi Mkuu uliofanyika Novemba 24, 2022 kwenye Ukumbi wa Chuo cha Mipango jijini Dodoma.
Katibu Mkuu wa Umoja huo, Gilbert Kalima (kulia) akimpongeza Maganya kwa kushika wadhifa huo.
Dogo Idd Mabrouk akipongezwa na Katibu Mkuu wa Umoja wa Wazazi, kwa kutwaa tena nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa umoja huo.
Msimamizi wa Uchaguzi wa jumuiya hiyo, Maalim Kombo Hassan Juma akitangaza matokeo hayo.
Wajumbe wakicheza kwa furaha baada ya matokeo kutangazwa.
Waziri wa Madini, Dotto Biteko akipongezwa na wajumbe baada ya kuibuka mshindi ujumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC).
 PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Maganya na wengine wakitangazwa washindi....

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages