LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 19, 2022

MALECELA AUKWAA UENYEKITI WA WAZAZI CCM DODOMA+video

Samweli John Malecela (kushoto) akipongezwa na Mwenyekiti wa muda wa mkutano huo, Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi CCM Wilaya ya Kondoa, Nyundo mara baada ya kutangazwa kuwa Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo Mkoa wa Dodoma katika uchaguzi wa viongozi uliofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma, Novemba 18,2022.
Akipongezwa na baadhi ya wajumbe 
Msimamizi wa Uchaguzi huo, Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Jabir Shekimweri akitangaza matokeo hayo.


Mzee Nyundo akizungumza maneno ya akimkaribisha Malecela kwenye kiti baada ya kutangazwa mshindi.

PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA 


Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, DC Shekimweri akitangaza matokeo ya washindi.....

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
 MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages