LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 24, 2022

KOMREDI KINANA AFUNGUA MKUTANO MKUU JUMUIYA YA WAZAZI CCM TAIFA

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akiteta jambo na Katibu Mkuu wa chama hicho Ndugu Daniel Chongolo (kushoto) muda mfupi kabla ya ufunguzi wa mkutano mkuu wa kumi wa Jumuiya ya Wazazi kwenye ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma.  Mkutano huo ulifunguliwa na Komredi Kinana.Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akizungumza na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dodoma Ndugu Adam Kimbisa (kulia) muda mfupi kabla ya ufunguzi wa mkutano mkuu wa kumi wa Jumuiya ya Wazazi uliofanyika kwenye ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma. 

Baadhi ya wajumbe wa mkutano Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi wakiwa kwenye shangwe ikiwa sehemu ya ufunguzi wa mkutano mkuu wa kumi wa Jumuiya ya Wazazi uliofanyika kwenye ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma.


Wagombea wanaowania nafasi tatu ujumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa wakiwa mbele ya wajumbe tayari kupigiwa kura.

Sehemu ya wajumbe wa mkutano huo

Baadhi ya Wajumbe wakitumbukiza kura zao kwenye visanduku baada ya kupiga kura.

PICHA NA RICHARD MWAIKENDA NA ADAM MZEE

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages