LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 3, 2022

HEKAHEKA RAIS SAMIA AKIPOKEWA NA RAIS XI JINGPING NCHINI CHINA LEO NOV 3, 2022

Rais wa Jamhiri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa na Mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Xi Jinping wakati wakisubiri kwenda kukagua paredi la Wanajeshi wa China lililoandaliwa kwa heshima yake, alipokuwa akipokewa rasmi na Rais Xi, katika ukumbi wa Great Hall of the People, nchini China leo tarehe 03 Novemba, 2022.
Wanajeshi wa China akiwa tayari kumpokea kwa Paredi Rais Samia alipokuwa akipokewa rasmi na Rais Xi, katika ukumbi wa Great Hall of the People, nchini China leo tarehe 03 Novemba, 2022.
Wanajeshi wa China akiwa tayari kumpokea kwa Paredi Rais Samia
Wanajeshi wa China akiwa tayari kumpokea kwa paredi Rais Samia.
Kamanda wa Paredi la Wanajeshi wa China akimualika Rais Samia na Mwenyeji wake Rais Xi kukagua paredi.

Rais Samia na Mwenyeji wake Rais Xi wakiwa wameshuka kutoka eneo maalum kwenda kukagua paredi.
Rais Samia na Mwenyeji wake Rais Xi wakisonga kwenda kukagua Paredi.  Rais Samia akikagua Paredi la Wanajeshi wa China huku akisindikizwa na Mwenyeji wake Rais Xi.

Rais Samia akiendelea kukagua Paredi la Wanajeshi wa China huku akisindikizwa na Mwenyeji wake Rais Xi. Rais Samia akiendelea kukagua Paredi la Wanajeshi wa China huku akisindikizwa na Mwenyeji wake Rais Xi.
Rais Samia akiendelea kukagua Paredi la Wanajeshi wa China huku akisindikizwa na Mwenyeji wake Rais Xi.
Rais Samia akiendelea kukagua Paredi la Wanajeshi wa China huku akisindikizwa na Mwenyeji wake Rais Xi.

Rais Samia akirejea eneo maalum huku akisindikizwa na Mwenyeji wake Rais Xi, baada ya kukagua Paredi.

Wanajeshi wa Jeshi la China wakipiga nyimbo za Taifa la Tanzania na China.

Mwisho wa Paredi kwa Paredi hilo kutoa salam za Heshima kwa Rais Samia na Mwenyeji wake Rais Xi👇



No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages