Afisa Lishe wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Husna
Faraji akitoa elimu ya lishe kwa wananchi wa Mkoa wa Geita waliofika katika
Hospitali ya Rufaa ya Kanda Chato (CZRH) kwa ajili ya kufanyiwa uchunguzi na
matibabu ya moyo. Wataalam wa JKCI kwa kushirikiana na wenzao wa CZRH wanafanya
kambi maalum ya siku tano ya matibabu ya magonjwa ya moyo kwa wananchi wa mkoa
wa Geita na mikoa ya JiraniMkuu wa Kitengo cha Utafiti na mafunzo wa Taasisi ya Moyo
Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Pedro Pallangyo akimsikiliza mwananchi aliyefika
katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda Chato kwa ajili ya kufanyiwa uchunguzi na
matibabu ya moyo wakati wa kambi maalum ya siku tano inayofanywa na wataalam wa
afya wa JKCI kwa kushirikiana na wenzao kutoka CZRH leo katika Viwanja vya
Hospitali hiyo.Fundi sanifu wa moyo wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI)
Gerson Mpondo akimpima kipimo cha kuangalia mfumo wa umeme wa moyo
(Electrocardiography – ECG) mwananchi aliyefika katika Hospitali ya Rufaa ya
Kanda Chato (CZRH) wakati wa kambi maalum ya siku tano ya uchunguzi na matibabu
ya moyo.Afisa Uuguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Sauli
Mwanyelele akimpima shinikizo la damu mwananchi aliyefika katika Hospitali ya
Rufaa ya Kanda Chato (CZRH) wakati wa kambi maalum ya siku tano ya uchunguzi na
matibabu ya moyo kwa wananchi wa mkoa wa Geita na mikao ya jirani inayofanywa
na wataalam wa afya kutoka JKCI kwa kushirikiana na wenzao wa CZRHMtafiti kutoka Hospitali ya Rufaa ya Kanda Chato (CZRH) Ayoub
Panja akichukua taarifa za mwananchi aliyefika katika Hospitali ya Rufaa ya
Kanda Chato (CZRH) wakati wa kambi maalum ya siku tano ya uchunguzi na matibabu
ya moyo kwa wananchi wa mkoa wa Geita na mikao ya jirani inayofanywa na
wataalam wa afya kutoka JKCI kwa kushirikiana na wenzao wa CZRH
PICHA NA : JKCI.
Your Ad Spot
Oct 31, 2022
Home
Afya
featured
WANACHI WAMIMINIKA KUPATA HUDUMA ZA UCHUNGUZI NA MATIBABU YA MAGONJWA YA MOYO MKOANI GEITA
WANACHI WAMIMINIKA KUPATA HUDUMA ZA UCHUNGUZI NA MATIBABU YA MAGONJWA YA MOYO MKOANI GEITA
Tags
Afya#
featured#
Share This
About Author CCM Blog
featured
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇