LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Oct 18, 2022

VILIO, SIMANZI VYATAWALA WAKATI WA KUAGA MWILI WA MWANAHABARI MAREHEMU DKT MBUNDA+video

Vilio na simanzi vikiwa vimetawala wakati wa kuuaga mwili wa aliyekuwa mwandishi wa habari mwandamizi na mmiliki wa gazeti la Tanganyika ambaye pia alikuwa kiongozi wa Kanisa la Anglikani, Lay Canon Dkt Frank Mbunda. Ibada imefanyika katika Kanisa la Anglikani la Mtakatifu Bartholomayo Makole jijini Dodoma Oktoba 18, 2022. Mwili umesafirishwa kwenda nyumbani kwao Dar es Salaam kwa mazishi yatakayofanyika Alhamisi Oktoba 20, 2022.Ameacha mke na watoto wanne. .

Baadhi wanahabari wakiwa miongoni mwa waombolezaji wakati wa ibada hiyo.
Baadhi ya waumini wa kanisa hilo.

Mjane wa marehemu Mbunga, Christine.
Waombolezaji wakiaga mwili wa marehemu Dkt Frank Mbunda.

Wanahabari wakiuaga mwili wa aliyekuwa mwandishi habari mwenzao.

Waombolezaji wakiuaga mwili wa marehemu Mbunda.




 PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza/kuona kupitia clip hii ya video, yaliyojili wakati wa ibada ya kuuaga mwili wa marehemu Dkt Mbunda.....


IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 
0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages