LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Oct 17, 2022

MSIGWA: WANAHABARI PELEKENI TAFSIRI SAHIHI KWA JAMII UMUHIMU WA BIMA YA AFYA KWA WOTE+video


 Mkurugenzi wa Idara ya Habari-MAELEZO ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa  amesema anatamani watanzania wote  kuunga mkono Bima ya Afya kwa Wote inayotarajiwa kuanza siku za usoni baada ya muswada kupitishwa bungeni na Rais kusaini ili iwe sheria kamili.

 Aidha, ameviomba vyombo vya habari nchini kuisemea vizuri n Bima ya Afya kwa Wote. 

Amebainisha hilo alipokuwa akihitimisha mkutano kati ya Mkurugenzi Mkuu wa  Bohari ya Dawa Tanzania (MSD), Mavere Tukai  na vyombo vya habari kwenye Ukumbi wa Idara ya Habari-MAELEZO jijini Dodoma Oktoba 17, 2022.

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Msigwa akielezea umuhimu wa bima hiyo...

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
 MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages