Mkurugenzi wa Idara ya Habari-MAELEZO, Gerson Msigwa akihitimisha mkutano huo kwa kutoa pongezi kwa Mkurugenzi Mkuu wa MSD kwa kueleza na kufafanua vizuri majukumu ya bohari hiyo.
Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Mkurugenzi Mkuu wa MSD, Tukai pamoja na mambo mengine akielezea kuhusu mpango huo wa Drone kupata kifafa....
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203

No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇