Mkurugenzi wa Uwekezaji wa Umma katika Ofisi ya Msajili wa Hazina, Lightness Mauki ametangaza ametangaza kuwa mwaka huu imevuka lengo kwa kukusanya mapato ya gawio, michango zaidi ya sh. bilioni 800 kupitia mashirika,taasisi na wakala inazozisimamia.
Amebainisha hilo katika mkutano na vyombo vya habari uliofanyika kwenye Ukumbi wa Idara ya Habari-MAELEZO jijini Dodoma Oktoba 26, 2022 alipokuwa akielezea utekelezaji wa majukumu yao na mwelekeo wa utekelezaji katika kipindi cha mwaka 2022/23.
Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari MAELEZO, Zamaradi Kawawa akitoa neno la shukrani alipokuwa akihitimisha mkutano huo
PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA
Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Mauki akielezea kuhusu mafanikio hayo....
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇