Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Rais wa Kituo cha kutengeneza vifaa tiba ( Mdeical Device Development Centre) cha Korea, Bw. Felix K. Yie (kulia) kuhusu vifaa tiba vinavyotengenezwa kituoni hapo. Mheshimiwa Majaliwa alitembelea Kituo hicho akiwa katika ziara ya kikazi nchini korea Kusini, Oktoba 26, 2022.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Rais wa Kituo cha kutengeneza vifaa tiba (Mdeical Device Development Centre) cha Korea, Bw. Felix K. Yie kuhusu utengenezaji wa vifaa tiba kituoni hapo. Mheshimiwa Majaliwa alitembelea Kituo hicho akiwa katika ziara ya kikazi nchini korea, Oktoba26, 2022.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na ujumbe wake wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Kituo cha Kutengeneza Dawa za Binadamu na Vifaa Tiba (KBIOHEALTH na Medical Device Development Centre)baada ya kutembelea kituo hicho akiwa katika ziara ya kikazi nchini humo, Oktoba 26, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Your Ad Spot
Oct 26, 2022
MAJALIWA ATEMBELEA KITUO CHA KUTENGENEZA DAWA ZA BINADAMU NA VIFAA TIBA KOREA
Tags
featured#
Kitaifa#
Share This
About Bashir Nkoromo
Kitaifa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇