Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule akikabidhiwa tuzo kwa utendaji wake mzuri tangua aingie Dodoma ikiwemo uhamasishaji wa sensa.
Viongozi wa CCM Mkoa wa Dodoma wakikabidhiwa tuzo kwa kutambua mchango wao kwa jumuiya hiyo. Kushoto ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa , Godwin Mkanwa na Katibu wa CCM Mkoa huo, Pili Agustine;
RC Senyamule akimkabidhi tuzo Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Jabir Shekimweri kwa utendaji wake mzuri.
Mkuu Mpya wa Wilaya ya Kongwa Mhe. Remedius Mwema akipatiwa tuzo.
RC Senyamule akiwa na Katibu Mkuu wa jumuiya hiyo, Askofu Maasa na Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo wa Mkoa wa Dodoma, Askofu Dkt Evance Chande
PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA
Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, ujue yaliyojili katika maadhimisho hayo'...
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇