LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Oct 24, 2022

BODI YA NAFAKA KUZALISHA MAFUTA YA KULA KWA KUTUMIA PUMBA ZA MPUNGA+video

Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Nafaka na Mazao Mchanganyiko (CPB), Dkt Anslem Moshi akizungumza katika mkutano na vyombo vya habari katika Ukumbi wa Idara ya Habari MAELEZO jijini Dodoma Oktoba 24,2022, ambapo pamoja na kuelezea utekelezaji wa majukumu yao na vipaumbele vyao kwa mwaka 2020/23 amesema kuwa wanao mpango wa kuzalisha mafuta ya kula na kuni kwa kutumia pumba za mpunga.
Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari MAELEZO, Zamaradi Kawawa akitoa neno la shukrani alipokuwa akihitimisha mkutano huo.
Meneja Mipango wa CPB, Marko Magheke akiwa na Meneja Utawala na Usimamizi wa  Rasilimali Watu wa bodi hiyo, Amisa Shaban wakifuatilia mwenendo wa mkutano huo
Mkurugenzi wa Huduma za Bidhaa wa CPB, ValerianMablangeti akionedha baadhi bidhaa zao.

 Wanahabari wakiwa kazini wakati wa mkutano huo.


PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Dkt Moshi akielezea mpango wao huo wa kuzalisha mafuta kwa kutumia pumba...


IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
 MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages