LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Oct 24, 2022

BODI MPYA YA EWURA YAPIGWA MSASA KUHUSU SHERIA ZA MAMLAKA HIYO

Mkurugenzi wa Masuala ya Sheria wa EWURA, Bi Kapwete John akizungumza jijini Dar es Salaaam Oktoba 24,2022 wakati wa mafunzo ya Sheria mbalimbali za Mamlaka hiyo kwa wajumbe wapya wa Bodi  kabla ya kuanza rasmi  vikao vyake tarehe 28.10.2022. Wajumbe hao ni Prof. Mark Mwandosya (Mwenyekiti),  Victoria Ilangwa, Haruna Masebu,  Fadhili Manongi, Dkt. James Andilile, Ngosi Mwihava na Modestus Lumato ambaye ndiye Mkurugenzi Mkuu wa EWURA


 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages