LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 9, 2022

WIKI YA MAADHIMISHO YA MIAKA 20 YA TUME YA HAKI ZA BINADAMU NA UTAWALA BORA YAZINDULIWA DODOMA+video

 

Zaidi ya wadau 3000 wa haki za binadamu na utawala bora wa ndani na nje ya nchi wanatarajiwa kushiriki katika Kilele cha Wiki ya Maadhimisho ya miaka 20 ya Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma Septemba 15, 2022. Maadhimisho hayo yatakayoambatana na shughuli mbalimbali yametangazwa na Mwenyekiti wa tume hiyo, Jaji mstaafu Mathew Mwaimu wakati wa mkutano na waandishi wa habari jijini Dodoma Septemba 9,2022.

Katibu Mkuu wa Tume hiyo, Patience Ntwina akitoa neno la utangulizi kabla ya kumkaribisha Mwenyekiti wa Tume kuzungumza na wanahabari. Kushoto ni Kamishna wa Tume, Dkt Thomas Masanja.

 

Baadhi ya wanahabari.

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Mwenyekiti Mwaimu akielezea kuhusu maadhimisho hayo....
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 
0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages