LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 9, 2022

MAANDALIZI YAPAMBA MOTO YA TPA KUPANDA MITI 2000 HOSPITALI YA MIREMBE, DODOMA+video

Katibu wa Taasisi ya Habari Development Bernard James akielezea kuanza kwa maandalizi ya upandaji miti 2000 eneo la Hospitali ya Taifa ya Afya ya Akili Mirembe, Dodoma utakaofadhiliwa na Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA).
Mwenyekiti wa Taasisi hiyo, Kunze akibadilishana mawazo na Afisa wa Jeshi aliyekuwa anasimamia  maandalizi ya usafishaji wa  eneo hilo linalotarajiwa kupwandwa miti 2000.
Askari wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), wakichoma moto majani.


James akiwa na Afisa wa Jeshi aliyekuwa anasimamia usafishaji wa eneo hilo pamoja na vijana wa JKT.

PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA


Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, James akielezea kuhusu maandalizi hayo....

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages