LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 3, 2022

WAZIRI MULAMULA: TUNAOMBA JUMUIZA ZA KIMATAIFA ZISAIDIE MAPAMBANO DHIDI YA MABADILIKO YA TABIANCHI+video

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Balozi Liberata Mulamula akihutubia wakati wa kufunga mkutano wa kimataifa waMazingira na Mabadiliko ya Tabianchi Septemba 2,2022 uliofanyika kwa siku mbili na kushirikisha mataifa 20 kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam. Mkutano huo uliandaliwa kwa pamoja na Tanzania na Uingereza.
Mwakilishi kutoka Uingereza, Matt Toombs akielezea makubaliano waliyoafikiana washiriki wakati wa mkutano huo wa siku mbili.
Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mary Maganga akitoa neno la utangulizi kabla ya kumkaribisha Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt Mulamula kufunga mkutano huo.
Baadhi ya washiriki kutoka nchi 20 duniani wakiwa katika mkutano huo.





 Balozi Mulamula akibadilishana mawazo na Balozi wa Uingereza nchini, David Concar.


PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA


Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Waziri Mulamula akizungumza kuhusu utayari wa Tanzania katika mapambano dhidi ya mabadiliko ya Tabianchi, Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Zanzibar, Dkt Omar Dadi na mabalozi wa mazingira Tanzania wakielezea mafanikio ya mkutano huo... 


 IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 
0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages