LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 19, 2022

VITA KAWAWA AKIWASILISHA MAONI YA KAMATI KULIRIDHIA ITIFAKI YA AU YA MAPAMBANO DHIDI YA UGAIDI+video


 Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, Vita Kawawa akiwasilisha bungeni Dodoma Septemba 19, 2022, maoni ya kamati hiyo kuhusu azimio la Bunge la kuridhia itifaki ya mkataba wa umoja wa Nchi Huru za Afrika wa Kuzuia na Kupambana na na Ugaidi ya mwaka 2004.

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Kawawa akiwasilisha maoni hayo...

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
 MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages