LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 12, 2022

TAASISI 39 ZANOGESHA MAONESHO YA WIKI YA MAADHIMISHO YA MIAKA 20 YA TUME YA HAKI ZA BINADAMU NA UTAWALA BORA+video

 

Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora,Mohammed Khamis Hamad akielezea kufana kwa Wiki ya Maadhimisho ya Tume hiyo yanayofanyika sambamba na maonesho ya wadau wa haki za binadamu na utawala bora kwenye viwanja vya Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma.


Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Jabir Shekimweri akiongozana na Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Mohammed Khamis Hamad (kushoto)  kutembelea Banda la Tume hiyo katika Maonesho ya  Wiki ya Maadhimisho ya miaka 20 ya Tume hiyo yanayofanyika sambamba na maonesho ya wadau wa haki za binadamu na utawala bora kwenye viwanja vya Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma.

PICHA NA RICHARD MWAIKENDA

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video,Makamu Mwenyekiti wa tume hiyo, Mohammed Khamis Hamad akielezea kuhusu maonesho hayo...
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
MSIMAMIZI MKUU 
KAMANDA WA MATUKIO TV/BLOG
 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages