LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 14, 2022

SERIKALI YAMJIBU MBUNGE BUTONDO BARABARA YA KOLANDOTO-MWANGONGO YATENGEWA FEDHA+video


 Mbunge wa Kishapu, Boniface Butondo amehoji bungeni lini Barabara ya Kolandoto hadi Mwangongo itaanza kujengwa kwa kiwango cha lami? na kujibiwa na serikali kuwa tayari barabara hiyo imeshatengewa fedha na ujenzi utaanza wakati wa utekelezaji wa bajeti ya mwaka huu.


Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Butondo akiihoji serikali kuhusu ujenzi wa barabara hiyo...

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 
0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages