LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 14, 2022

MBUNGE PALLANGYO AHOJI BUNGENI NI LINI SERIKALI ITATUA MGOGO WA ARDHI KATIKA VIJIJI VINAVYOZUNGUKA UWANJA WA KIA+video

 


 Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Ridhiwani Kikwete ameahidi mbele ya Bunge leo Septemba 14, 2022, kuambatana na Mbunge wa Arumeru Mashariki, Dkt John Pallangyo kwenda kutatua mgogoro wa ardhi katika vijiji vya Malula na Majengo vinavyozunguka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA).

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Mbunge Pallangyo akihoji bungeni ni lini serikali itatatua mgogoro huo, huku akijibiwa na Ridhiwani Kikwete...

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 
0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages