LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 19, 2022

SERIKALI YAKUBALI OMBI LA MWANTONA KUPELEKA VIFAA TIBA KWENYE VITUO VYA AFYA RUNGWE+video


 Mbunge wa Rungwe, Anthony Mwantona ameiomba serikali kupeleka vifaa tiba na mhudumu wa Mochari katika vituo vya afya Rungwe, jambo ambalo limekubaliwa na serikali kupitia kwa Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI, Dkt Festo Dugange wakati wa kipindi cha maswali na majibu bungeni Dodoma Septemba 16, 2022.

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video,Mwantona akihoji mambo hayo bungeni....

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
 MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages