LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 1, 2022

RIDHIWANI KIKWETE KUANZA ZIARA YA UTATUZI WA MIGOGORO YA ARDHI DODOMA





 Naibu Waziri wa  Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Ridhiwani Kikwete amefanya mazungumzo na  Mkurugenzi wa Manispaa ya Dodoma Ndg.Joseph  Mafuru na Mkuu wa Idara ya Ardhi Ofisini Ndg. Maduhu ofisini Mtumba, Dodoma Septemba Mosi, 2022 kujadili Changamoto za Ardhi na utatuzi. Ridhiwani Kikwete anaanza ziara Sept. 8, kukagua shughuli za Ardhi Mkoani hapo. #KaziInaendelea #ArdhiYetu

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages