LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 6, 2022

RIDHIWANI KIKWETE ASHIRIKI ZIARA YA WAZIRI MKUU KUKAGUA UJENZI WA MAJENGO MTUMBA DODOMA

 Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Ridhiwani Kikwete akishiriki  Ziara ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kukagua Ujenzi wa majengo ya Wizara mbalimbali, Mtumba Dodoma. Shirika la Nyumba #NHC linajenga majengo ya Wizara 8 na maendeleo yanakwenda vizuri na tunataraji yatakwisha kabla ya Mwezi wa Nne,2023. #KaziInaendelea #MakaoMakuu






No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages