LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 5, 2022

RAIS SAMIA ATUA DAR ES SALAM AKITOKEA NZANZIBAR

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisaini kitabu cha kumbukumbu kwenye Meli ya Kilimanjaro 4 alipokuwa akiondoka katika Bandari ya Malindi Zanzibar akielekea Jijini Dar es Salaam  tarehe 05 Septemba, 2022


  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiingia ndani ya Meli ya Kilimanjaro 4 kutoka Bandari ya Malindi Zanzibar wakati alipokuwa akielekea Jijini Dar es Salaam  tarehe 05 Septemba, 2022
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania cMhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Abiria na Wananchi mbalimbali aliosafiri nao kwa Meli ya  M.V Kilimanjaro 4 alipokuwa akiondoka katika Bandari ya Malindi Zanzibar akielekea Jijini Dar es Salaam  tarehe 05 Septemba, 2022

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages