LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 7, 2022

RAIS SAMIA AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM LUMUMBA JIJINI DAR ESSALAAM


Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan aongoza Kikao cha Kamati Kuu ya CCM kilichokutana Ofisi ndogo ya CCM Lumumba Jijini Dar es Salaam.



Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kilichokutana Ofisi ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba Jijini Dar es Salaam tarehe 07 Septemba, 2022.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages