LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 13, 2022

PROF. NDAKIDEMI AZIDI KUWAPIGANIA BUNGENI WAKULIMA WA ZAO LA KAHAWA KILIMANJARO+video

 \]

Mbunge wa Moshi Vijijini, Profesa Patrick Ndakidemi leo Septemba 13, 2022 wakati wa kipindi cha maswali na majibu bungeni Dodoma, ameibana serikali kwa kuhoji ni lini itarejesha  ruzuku ya pembejeo za dawa kwa wakulima wa kahawa ambapo amepata majibu kutoka kwa Naibu Waziri wa Kilimo, Anthony Mavunde kupitia clip ya video hapa chini ambayo nakuomba uisikilize kwa makini...
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 
0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages