LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 13, 2022

MHAGAMA AWASILISHA MAONI YA KAMATI KUHUSU MUSWADA WA SHERIA YA USIMAMIZI WA MAAFA+video


 Mwenyekiti Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria akiwasilisha maoni ya kamati hiyo kuhusu muswada wa sheria ya usimamizi wa maafa bungeni Dodoma Septemba 13, 2022 ambayo imepitishwa na Bunge hivyo kusubiri baraka za kusainiwa na Rais ili iwe sheria ya nchi.

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Mhagama akiwasilisha maoni hayo....


IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
 MSIMAMIZI MKUU 
KAMANDA WA MATUKIO TV/BLOG
 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages