LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 26, 2022

MWENYEKITI WA CCM RAIS SAMIA AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU MAALUM YA CCM, IKULU CHAMWINO JIJINI DODOM

MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambae pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan alipowasili katika ukumbi wa Chamwino Dodoma kwa ajili ya kuongoza Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika leo 26-9-2022.






   Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM ambae ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Kamati Kuu Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM kilichofanyika tarehe 26 Septemba, 2022 Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM ambae ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Daniel Chongolo wakati akielekea kuongoza Kikao cha Kamati Kuu Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM kilichofanyika tarehe 26 Septemba, 2022 Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.


Makamu Mwenyekiti wa CCM Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana akizungumza jambo na Katibu MKuu wa CCM Ndugu Daniel Chogolo kabla ya baada ya kushiriki Kikao cha Kamati Kuu Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM kilichoongozwa na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM ambae ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kilichofanyika leo Septemba 26,2022 Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages