LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 26, 2022

MWENYEKITI WA CCM RAIS SAMIA AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM, IKULU, CHAMWINO JIJINI DODOMA, LEO

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Ikulu jijini Dodoma, leo
Wajumbe wakimsikiliza Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais Samia Suluhu Hassan wakati akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Ikulu jijini Dodoma, leo
 Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais Samia Suluhu Hassan akieleza jambo wakati akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Ikulu jijini Dodoma, leo.
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka akijadili jamboo na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Tafa ya CCM Steven Wasira wakati wa Kikao hicho.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Taifa ya CCM, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Mwinyi akiwa kwenye kikao hicho.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages