Waziri wa MaMbo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akisoma taarifa ya Wizara yake katika Kikao cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, kilichofanyika, Bungeni jijini Dodoma
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akisoma taarifa ya Wizara yake katika Kikao cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, kilichofanyika, Bungeni jijini Dodoma, leo. Katikati ni Naibu Waziri wa Wizara hiyo, Jumanne Sagini na Kulia ni Katibu Mkuu, Christopher Kadio,
Naibu Kamishna wa Magereza (DCP), Jeremiah Katungu, akijitambulisha katika Kikao cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, kilichofanyika, Bungeni jijini Dodoma, leo. Kulia ni Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni na Naibu Waziri, Jumanne Sagini.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Christopher Kadio (kushoto), akimsikiliza Mkuu wa Jeshi la Polisi, IGP Camilius Wambura, kabla ya kuanza kwa Kikao cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, kilichofanyika, Bungeni jijini Dodoma
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akizungumza katika Kikao cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, kilichofanyika, Bungeni jijini Dodoma, leo. Katikati ni Naibu Waziri wa Wizara hiyo, Jumanne Sagini na Kulia ni Katibu Mkuu, Christopher Kadio
Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, Vicent Mbogo (kushoto meza kuu), akimsikiliza Katibu wa Kamati hiyo Omari Magwiza, akizungumza na Wajumbe wa Kamati hiyo pamoja na Watendaji Wakuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, katika Kikao cha Kamati hiyo kilichofanyika, Bungeni jijini Dodoma
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kulia), akifurahia jambo na Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, IGP Camilius Wambura, kabla ya kuanza kwa Kikao cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, kilichofanyika, Bungeni jijini Dodoma, leo. Wapili kulia ni Naibu Waziri wa Wizara hiyo, Jumanne Sagini, Katibu Mkuu, Christopher Kadio, (wapili kushoto), na Naibu Katibu Mkuu, Dkt. Maduhu Kazi. Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇