LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 7, 2022

MAKAMU WA RAIS AFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS KAGAME


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Rwanda Mheshimiwa Paul Kagame Mazungumzo yaliofanyika katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Kigali nchini Rwanda.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages