Aliyekuwa Mbunge wa Misungwi na aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Charles Kitwanga amesema kuwa tozo za miala ya Benki ni kumkandamiza Mwananchi.
Amesema kuwa kutoza tozo kwenye Miamala ya Kibenki ni kuvunja sheria ya kodi ambapo wanatoza kodi mara mbili kwa mwananchi mmoja.
Aishauri Serikali kuongeza gharama kwenye kupiga simu kuliko kukata Fedha kwenye Fedha za mishahara ya watu ambayo hata wajaifanyia kazi.
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇