LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 7, 2022

KAMATI YA BUNGE YAMWAGIZA CAG KUFANYA UKAGUZI MAALUMU WA HESABU ZA MIRADI KILOSA+video


 Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Serikali za Mitaa (LAAC), imemwagiza Mkaguzi na Mdhibiti wa Hesabu za Serikali (CAG), kufanya ukaguzi maalumu wa fedha zilizotumika kwenye miradi nane katika Halmashauri ya Kilosa. Agizo hilo limetolewa na Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Seleman Zedi alipozungumza na vyombo vya habari baada ya kamati hiyo kuwahoji viongozi wa halmashauri hiyo katika kikao kilichoketi Bungeni Dodoma Septemba 6, 2022. CAG amepewa miezi mitatu kukamilisha kazi hiyo.

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, ZEDI akitoa agizo hilo kwa niaba ya kamati...


IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
 MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 
 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages