LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 13, 2022

DC SHEKIMWERI AVUTIWA NA MAONESHO YA MAADHIMISHO YA MIAKA 20 YA TUME YA HAKI ZA BINADAMU NA UTAWALA BORA

 

Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Jabir Shekimweri (kushoto) akisikiliza kwa makini maelezo kutoka kwa Afisa wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (TAKUKURU), kuhusu utendaji wao alipotembea mabanda ya wadau katika maonesho ya Wiki ya Maadhimisho ya miaka 20 ya Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora katika viwanja vya Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma Septemba 12, 2022. Shekimweri ameipongeza tume kwa kuandaa maonesho hayo yenye umuhimu mkubwa kwa jamii.
DC Shekimweri akiwa Banda la HHRC
DC Shekimweri akitoa ushaui katika banda la Jeshi la Uhamiaji
Makamu Mwenyekiti wa Tume, Hamad (kushoto) na DC Shekimweri wakimsikiliza kwa makini  Mayasa Muna wa Taasisi ya  THRDC.



DC Shekimweri akiwa banda la Jeshi la Zimamoto na uokoaji.
DC Shekimweri akiwa banda la Jeshi la Polisi
DC Shekimweri akitoa ushauri na pongezi  katika banda la Mamlaka ya Hifadhi Tanzania (TANAPA), ambao wametoa ofa kwa wakazi wa Dodoma kwenda kutembelea Hifadhi ya Mikumi mwezi ujao kwa gharama nafuu. Kushoto ni Afisa Mhifadhi Mkuu Ofisi ya Kiunganishi na Taarifa wa TANAPA,  Fredrick Malisa.


DC Shekimweri akimsikiliza Afisa wa Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini, Dkt Maclean Mwamlangala kuhusu mafunzo mbalimbali yatolewayo chuoni hapo.

PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA
 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages