LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 16, 2022

BUNGE LAIPONGEZA TUME YA HAKI ZA BINADAMU NA UTAWALA BORA KWA UFANISI+video



Kupitia Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria, Bunge limeipongeza Tume ya Haki za Binadamu na Uatawala Bora kwa utendaji mzuri wa majukumu yake. Pongezi hizo zimetolewa na Mwenyekiti wa kamati hiyo, Dkt. Joseph Mhagama wakati wa kilele cha Maadhimisho ya miaka 20 ya tume hiyo iliyoanzishwa mwaka 2002. Mgeni rasmi katika maadhimisho hayo alikuwa Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Damas Ndumbaro.

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Dkt Mhagama akitoa pongezi hizo....
 

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
 MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages