LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Aug 5, 2022

ZIARA YA KATIBU MKUU CHONGOLO WILAYA YA ROMBO MKOANI KILIMANJARO

 

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akiwasili Mamsera, Rombo mkoani Kilimanjaro kujionea maendeleo ya ujenzi wa shule ya Sekondari Mamsera Kati ikiwa sehemu ya ziara yake ya kukagua uhai wa Chama pamoja na Kuhimiza na kusimamia utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi 2020-2025. 

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akiwa akiwa na Viongozi mbalimbali wa mkoa wa Kilimanjaro wakati alipotembelea mradi ujenzi wa shule ya Sekondari Mamsera Kati ikiwa sehemu ya ziara yake ya kukagua uhai wa Chama pamoja na Kuhimiza na kusimamia utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi 2020-2025. 

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akizungumza na Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Rombo Ndugu Anthony Joachim Tesha (kushoto) mara baada ya kutembelea mradi wa ujenzi wa shule ya Sekondari Mamsera Kati ikiwa sehemu ya ziara yake ya kukagua uhai wa Chama pamoja na Kuhimiza na kusimamia utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi 2020-2025. 

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akihutubia wakazi wa Namsera, Rombo mkoani Kilimanjaro mara baada ya kutembelea na kujionea maendeleo ya mradi wa ujenzi wa Shule ya Sekondari Mamsera Kati ikiwa sehemu ya ziara yake ya kukagua uhai wa Chama pamoja na Kuhimiza na kusimamia utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi 2020-2025.

 

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akiteta jambo na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Ndugu Nurdin Babu  mara baada ya kukagua mradi wa ujenzi wa shule ya Sekondari Mamsera Kati ikiwa sehemu ya ziara yake ya kukagua uhai wa Chama pamoja na Kuhimiza na kusimamia utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi 2020-2025. Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akiweka shada la maua katika kaburi la wanafunzi 38 wa shule ya Sekondari ya Shauritanga waliopoteza Maisha yao katika ajali ya moto iliyotokea tarehe 18 Juni 1994. 

Chongolo akisalimiana na baadhi ya makada wa CCM


No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages