LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Aug 5, 2022

NG'OMBE ANAYEITWA 'MH KIKWETE' ATAMBA PAREDI YA MIFUGO MAONESHO YA NANE NANE DODOMA+video

 Ng'ombe mwenye uzito zaidi ya kilo 700 kutoka Mpwapwa, ambaye kutokana na kilo zake kuwa nyingi amepewa jina la Mheshimiwa Kikwete (pichani amekuwa kivutio kikubwa kwenye paredi ya mifugo iliyoshuhudiwa na Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki na Mkuu mpya wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamula wakati wa ufunguzi wa Maonesho ya Kilimo ya Nane Nane Kanda ya Kati Nzuguni Dodoma Agosti 5, 2022.


Mfugaji wa ng'ombe huyo, George Magaya

Baadhi ya wananchi walioshuhudia paredi hiyo


Mkuu mpya wa Mkoa wa Dodoma, Senyamule akipongezana na Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Dkt Mashimba Ndaki wakati wa paredi hiyo ya mifugo.

Pia utamsikia kwenye clip ya video mfugaji wa ng'ombe huyo George Magawa akielezea jinsi anavyomfuga kiustadi kiasi cha ng'ombe huto kuwa na kilo hizo....IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
 MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages