Timu ya Tambaza Youth Academy inayoshiriki Ligi Daraja la Tatu Mkoa wa Ilala itafanya Majaribio Kwa Wachezaji wanaotaka Kuichezea Timu hiyo Kwenye Ligi Daraja la Tatu inayotarajia kuanza Mwanzo mwa Mwezi wa Tisa.
Majaribio hayo yatafanyika katika Uwanja wa Msimbazi Rovers leo Jumatu na kesho Jumanne kuanzia Saa Nane mchana hadi saaa Kumi Jioni.
Na Mwandishi wetu Tambaza Youth Academy
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇