Mbunge wa Chalinze ambaye pia ni Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Ridhiwani Kikwete amekabidhi zawadi kwa washindi wa mashindano ya Sensa Kata ya Ubena.
Ridhiwani amewashukuru sana wachezaji, wananchi,na wote waliosaidia kufanikisha mashindano na kwa kipekee ofisi ya Dc Bagamoyo, Zainab Abdallah na Mkurugenzi ChalinzeCouncil . #SensaKwaMaendeleo #JiandaeKuhesabiwa
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇