LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Aug 27, 2022

RIDHIWANI:MADIWANI WENZANGU TUANGALIE NYUMA KWA MAFUNZO, MBELE KWA MATUMAINI MAKUBWA


Mbunge wa Chalinze, ambaye pia ni Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Ridhiwani Kikwete ameshiriki Baraza la Madiwani la Mwisho wa Mwaka na kutumia fursa hiyo kuwaasa madiwani wenzake kwamba waangalie nyuma kwa mafunzo na mbele kwa matumaini makubwa. "Chalinze yetu sote na tusonge mbele." #Chalinze #MaendeleoKwanza #BarazaMadiwani

Ridhiwani akiwa na marafiki zake  wadau wa maendeleo.

 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages