LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Aug 17, 2022

RIDHIWANI KIKWETE ASHUHUDIA UTIAJI SAINI MIKATABA YA UFUMBUZI WA TATIZO LA NYUMBA KWA WATU WA KIPATO CHA CHINI

 

Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Ridhiwani Kikwete (katikati) akishuhudia makabidhiano ya mikataba baada ya kutiliana  sahihi makubaliano (MOU) kati ya tmrctanzania na Habitat_org kutafuta ufumbuzi wa tatizo la nyumba kwa watu wa kipato cha Chini, Serena , Dar Es Salaam leo 17 Agosti 2022. #KaziInaendelea #SSH #ArdhiYetu


Ridhiwani akitoa salamu za wizara wakati wa hafla hiyo.

Ridhiwani akijadiliana jambo na wakurugenzi wa kampuni hizo.




No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages