LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Aug 4, 2022

RC MTAKA: KWA DHATI YA MOYO WANGU NAMSHUKURU SANA RAIS KUENDELEA KUNIAMINI+video

Mkuu mpya wa Mkoa wa Njombe, ambaye kabla alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Anthony Mtaka amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kumuamini kumteua tena kuwa mkuu wa mkoa. Shukrani hizo amezitoa alipokuwa akimkabidhi Mkuu mpya wa Mkoa wa Dodoma Rosemary Senyamule Agosti 4, 2022 jijini Dodoma.
Mtaka akimkabidhi nyaraka  Mkuu mpya wa Mkoa wa Dodoma, Senyamule
Baadhi ya viongozi wakiwa katika hafla hiyo ya makabidhiano

 PICHA NA RICHARD MWAIKENDA

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Mtaka akitoa shukrani kwa Rais....

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
 MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 
 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages