Mkuu mpya wa Mkoa wa Njombe, Anthony Mtaka (kulia) amewakaribisha viongozi wa Mkoa wa Dodoma kwenda Njombe kuandaa pensheni zao kwa kupanda miti na mipachichi. Ametoa ukaribisho huo alipokuwa akimkabidhi ofisi Mkuu mpya wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule Agosti 4, 2022 jijini Dodoma.
Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Mtaka akitoa ukaribisho huo....
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇