LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Aug 8, 2022

RAIS DK. MWINYI NA MKEWE KATIKA MAADHIMISHO YA MAADHIMISHO YA NANENANE ZANZIBAR, LEO

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi (kushoto)  wakichuma karafuu leo  wakati walipotembelea maonesho ya kazi mbali mbali   katika maonesho ya  wakulima nanenane  viwanja vya Kizimbani Wilaya ya Magharibi “A” Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja (katikati) Waziri wa Kilimo,Umwagiliaji,Maliasili na Mifugo  Mhe.Shamata Shaame Khamis

 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi (katikati)  wakipata maelezo yaliyotolewa na Mkurugenzi Idara ya Maendeleo ya Uratibu wa Uchumi wa Buluu Capt.Hamad Bakari Hamad (wa tatu kulia)wakati walipotembelea maonesho ya kazi mbali mbali   katika maonesho ya  wakulima nanenane  viwanja vya Kizimbani Wilaya ya Magharibi “A” Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja leo,wengine ,Waziri wa Kilimo,Umwagiliaji,Maliasili na Mifugo  Mhe.Shamata Shaame Khamis(kushoto) na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akiuliza suala kwa Mkurugenzi Idara ya Maendeleo ya Uratibu wa Uchumi wa Buluu Capt.Hamad Bakari Hamad (kulia) wakati alipotembelea  kazi mbali mbali   katika maonesho ya  wakulima nanenane  viwanja vya Kizimbani Wilaya ya Magharibi “A” Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja aliyoyafungua leo ,(katikati)  Mke wa Rais Mama Mariam Mwinyi (wa pili kulia) Mkuu wa KmKm Komodoo Azana  Hassan Msingiri (Picha zote/Maelezo na Ikulu, Zanzibar).

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages