LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Aug 18, 2022

NAIBU WAZIRI RIDHIWANI KIKWETE AZIDI KUTATUA MIGOGORO YA ARDHI MOROGORO






Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Ridhiwani Kikwete akiwasikiliza wananchi wenye migogoro na kusuluhisha baadhi yao na kuelekeza nini cha kufanywa katika kufikia muafaka dhidi ya migogoro myengine.  Kazi ya kupanga maendeleo haiwezi kufanikiwa bila kutatua changamoto katika jamii yetu. #ArdhiYetu #KaziInaendelea

No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages