Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na Rais wa Kampuni ya Association of African Economic Development (AFRECO) Bw. Tetsuro Yano, katika Mkutano wa wakuu wa nchi na Serikali wa TICAD uliofanyika jijini Tunis, Tunisia Agosti 28, 2022. Kampuni ya AFRECO ya imeonesha nia ya kujenga chuo cha Uhandisi wa Tiba (school of medical engineering) kwa kushirikiana na Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) ili kupunguza tatizo la wataalamu wa tiba na vifaatiba nchini. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Rais wa Kampuni ya Association of African Economic Development (AFRECO) Bw. Tetsuro Yano, katika Mkutano wa wakuu wa nchi na Serikali wa TICAD uliofanyika jijini Tunis, Tunisia Agosti 28, 2022. Kampuni ya AFRECO ya imeonesha nia ya kujenga chuo cha Uhandisi wa Tiba (school of medical engineering) kwa kushirikiana na Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) ili kupunguza tatizo la wataalamu wa tiba na vifaatiba nchini.
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇